THE MAZOMBE MAHENGE DEVELOPMENT ASSOCIATION (MMADEA)
ni shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya jamii
Pages
(Move to ...)
Home
news
old post
new post
▼
Pages
(Move to ...)
▼
Thursday, September 22, 2016
KIJIJI CHA NYAMAHANA
›
Akina mama wa kijiji cha Nyamahana wakisikiliza kwa makini majadiliano yanayohusu changamoto zinazoikabili zahanati ya Nyamahana.
KIJIJI CHA NYAMAHANA
›
Afisa wa MMADEA VIVIAN kisanga akiwasilisha maada katika kijiji cha Nyamahana
MRADI HUU WA AFYA UNAFANYIKA KATIKA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI, UNATEKELEZWA NA MMADEA WAKISHIRIKIANA NA TACOSODE KWA UFADHILI WA WATU WA MAREKANI(USAID). MRADI HUU UNAFANYIKA KATIKA KATA MBILI, KATA YA NZIHI( NZIHI NA ILALASIMBA) KATA YA MLOWA (NYAHANA NA MAFULUTO) LENGO KUU LA MRADI HUU NI KUHAKIKISHA JAMII INAPATA HUDUMA BORA ZA AFYA.
›
mkurugenzi Raphael Mtitu wa MMADEA akiwasilisha maada kwa wananchi wa Nyamahana
Home
View web version