MRADI HUU WA AFYA UNAFANYIKA KATIKA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI, UNATEKELEZWA NA MMADEA WAKISHIRIKIANA NA TACOSODE KWA UFADHILI WA WATU WA MAREKANI(USAID). MRADI HUU UNAFANYIKA KATIKA KATA MBILI, KATA YA NZIHI( NZIHI NA ILALASIMBA) KATA YA MLOWA (NYAHANA NA MAFULUTO) LENGO KUU LA MRADI HUU NI KUHAKIKISHA JAMII INAPATA HUDUMA BORA ZA AFYA.
mkurugenzi Raphael Mtitu wa MMADEA akiwasilisha maada kwa wananchi wa Nyamahana
No comments:
Post a Comment