Akina mama wa kijiji cha Nyamahana wakisikiliza kwa makini majadiliano yanayohusu changamoto zinazoikabili zahanati ya Nyamahana.
THE MAZOMBE MAHENGE DEVELOPMENT ASSOCIATION (MMADEA)
ni shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya jamii
Thursday, September 22, 2016
MRADI HUU WA AFYA UNAFANYIKA KATIKA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI, UNATEKELEZWA NA MMADEA WAKISHIRIKIANA NA TACOSODE KWA UFADHILI WA WATU WA MAREKANI(USAID). MRADI HUU UNAFANYIKA KATIKA KATA MBILI, KATA YA NZIHI( NZIHI NA ILALASIMBA) KATA YA MLOWA (NYAHANA NA MAFULUTO) LENGO KUU LA MRADI HUU NI KUHAKIKISHA JAMII INAPATA HUDUMA BORA ZA AFYA.
Subscribe to:
Posts (Atom)